Awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kunijaria afya njema, pia nichukue nafasihii kuwapongeza wale wote ambao nao mungu anazidi kuwalinda na hatari zote za mwili na za kiroho mungu awajarie neema. pia nachukua nafasi hii kuwaombea nafuu na pole wagonjwa wote mungu yu pamoja nanyi mtapona tu kwa nguvu zake na kuungana nasi katika mapambano haya ya kuijenga mama Tanzania.
Baada ya hapo na penda kuitamburisha blogi hii mpya inayoitwa "MWALIMU HERMAN BLOG" blog hii itajishugulisha sanasana na kuelimisha, kuhabarisha,kuchangia mawazo mabalimbali, pia kuburudisha.Hivyo basi na chukua furusa hii kuomba sapoti kubwa kutoka kwa wanablogi mliotangulia na wadau wengine ilikuhakikisha blogi hii ina ishi milele, maana kuna msemo wasemao waswahili kwamba "kupata kitambi siyo kazi bali kazi kukitunza".
Hivyo nahitimisha kwa kukabizi kwa mungu blogi hii na kwenu wadau.Amina.
Simu no: 0765366762